DK ALI MOHAMED SHEIN AFUNGUA JENGO LA MAMLAKA UA BIMA ZANZIBAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

DK ALI MOHAMED SHEIN AFUNGUA JENGO LA MAMLAKA UA BIMA ZANZIBAR


 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya usimamizi wa Bima,(TIRA) Prof Gamaliel Mgongo Fimbo,alipohudhiria katika sherehe za ufunguzi wa jengo la ofisi za mamlaka ya usimamizi wa Bima Tawi la Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein ,akisalimiana na Naibu Kamisha wa Bima Zanzibar,Juma Juma Makame,alipohudhiria katika sherehe za ufunguzi wa jengo la ofisi za mamlaka ya usimamizi wa Bima Tawi la Zanzibar
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein, akikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Jengo la ofisi za mamlaka ya usimamizi wa Bima Tawi la zanzibar jana, Kilimani Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na wafanyakazi wa Ofisi za mamalaka ya usimamizi wa Bima Tawi la Zanzibar,wakati wa sherehe za uzinduzi wa jengo la mamlaka hiyo jana huko Kilimani Mjini Zanzibar,(kushoto) Waziri wa Fedha,Uchumi na Mipango ya Maendeleo,Omar Yussuf Mzee,(kulia)Kamishna Mkuu Isarael L.Kamuzora na Mwenyekiti wa Bodi Prof  Mgongo Fimbo.Picha na Ramadhan Othman, Ikulu-Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages