RAISI KIKWETE AKIJIBU MASWAL KWENYE MKUTANO WA UWEKEZAJI WA AFRIKA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAISI KIKWETE AKIJIBU MASWAL KWENYE MKUTANO WA UWEKEZAJI WA AFRIKA


Rais Jakaya Kikwete akijibu maswali kwenye Mkutano wa Uwekezaji wa Afrika unaoshirikisha pia wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki ulioanza mjini Dar es Salaam. Wengine ni Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi (kushoto), Rais Mwai Kibaki wa Kenya(wa pili kulia) na Waziri Mkuu wa Rwanda, Bernard Makuza (kulia).Picha na Robert Okanda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages