RAIS KIKWETE AAGIZA WIZARA YA UJENZI KUKISHUGHULIKIA MARA MOJA KILE ALICHOKIITA “GENGE LA WATU WALIOJIPANGA KUIDHULUMU SERIKALI NA WANANCHI” …. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

RAIS KIKWETE AAGIZA WIZARA YA UJENZI KUKISHUGHULIKIA MARA MOJA KILE ALICHOKIITA “GENGE LA WATU WALIOJIPANGA KUIDHULUMU SERIKALI NA WANANCHI” ….

Rais Jakaya Kikwete (katikati)Balozi wa Japan nchini Hiroshi Kanagawa (kulia) wakikata utepe na Waziri wa Ujenzi John Magufuli akishuhudia kukatwa kwa utepe wakati Rais Jakaya Kikwete alipoweka jiwe la msingi la upanuzi wa Barabara ya New Bagamoyo Road, eneo la Mwenge-Tegeta, katika sherehe iliyofanyika Mwenge mjini Dar es Salaam leo.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages