KOFFI ANNAN AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM, AELEZEA MAPINDUZI YA KIJANI AFRIKA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KOFFI ANNAN AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI LEO JIJINI DAR ES SALAAM, AELEZEA MAPINDUZI YA KIJANI AFRIKA

 Mkurugenzi wa masoko katika shirika la maendeleo ya kilimo Afrika  Annie Mbabu akitoa maelezo kwa waandishi wa habari juu ya maendeleo na upatikanaji wa masoko ya mazao ya kilimo barani Afrika
Mwenyekiti  wa   Growing Africa's Agricuture (AGRA),  Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa Kofi Annan akizungumza na waandishi wa habari katika hoteli ya Kilimanjaro jijini Dar es Salaam leo. Annan alizungumzia juu ya uwezo wa bara la Afrika kuzalisha mazao ya chakula na kuweza kujilisha na kuzalisha ziada. Katika kufanikisha azma hiyo alisema kuwa Afrika ikiwa ni pamoja na Tanzania ina kila sababu ya kuzalisha mbegu bora kwa ajili ya ustawi mzuri wa mazao ya chakula na biashara. Kushoto ni Rais wa AGRA Dr. Namanga Ngongi.Picha na Victor Makinda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages