Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Naibu katibu mkuu wa umoja wa Mataifa Dkt.Asha Rose Migiro(kulia) na mkurugenzi mkuu wa Shirika la umoja wa mataifa linaloshughulikia ukimwi(UNAIDS)Michel Sidibe wakiwa katika picha ya pamoja ikulu jijini Dar es Salaam leo mchana
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete amkikaribisha ikulu jijini Dar es Salaam,Naibu katibu mkuu wa umoja wa Mataifa Dkt.Asha-Rose Migiro leo mchana.Baadae viongozi hao wawili walifanya Mazungumzo.Picha na Freddy Maro-IKULU





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)