PROFESA WA SHERIA KUTOKA CHUO KIKUU CHA NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI ATEMBELEA KABURI LA ABDULRAHMAN MOHAMED BABU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

PROFESA WA SHERIA KUTOKA CHUO KIKUU CHA NORTH CAROLINA NCHINI MAREKANI ATEMBELEA KABURI LA ABDULRAHMAN MOHAMED BABU


 Mmoja kati ya marafiki zake wakubwa marehemu Abdulrahman Mohamed Babu,Profesa wa sheria kwenye chuo kikuu cha North Carolina, Bereket Habte Selassie (pichani) akiweka shada la maua kwenye kaburi la marehemu Abdulrahman Mohamed Babu alipofika Zanzibar akiwa njiani kwenda Dar Es Salaam kuhudhuria mkutano wa Nyerere Foundation hivi majuzi.Picha na Martin Kabemba

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages