NBC YATOA MILIONI 5 KWA BARAZA LA HABARI TANZANIA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NBC YATOA MILIONI 5 KWA BARAZA LA HABARI TANZANIA


 Meneja wa Programs wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Pili Mtambalike (kushoto) akizungumza baada ya kupokea mfano wa hundi ya shs milioni 5 ikiwa ni kama zawadi kwa mshindi wa kitengo cha Mwandishi Bora wa Habari za Biashara na Uchumi katika Tuzo za Waandishi Bora zinazoandaliwa na MCT na Mkuu wa Masoko, Mawasiliano wa Benki ya NBC, Bi. Mwinda Kiula-Mfugale (kulia). Hafla ya utoaji tuzo hizo zitafanyika jijini Dar es Salaam Mei 3 mwaka huu. Makabidhiano yalifanyika jijini Dar es Salaam jana.
Mkuu wa Masoko, Mawasiliano wa Benki ya NBC,Bi. Mwinda Kiula-Mfugale (kulia) akikabidhi mfano wa hundi ya shs milioni 5 kwa Meneja wa Programs wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Pili Mtambalike ikiwa ni kama zawadi kwa mshindi wa kitengo cha Mwandishi Bora wa Habari za Biashara na Uchumi katika Tuzo za Waandishi Bora zinazoandaliwa na MCT. Hafla ya utoaji tuzo hizo zitafanyika jijini Dar es Salaam Mei 3 mwaka huu. Makabidhiano yalifanyika jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Ofisa Mwandamizi wa Program wa MCT Alfred Mbogora na Mshauri wa Mawasiliano wa NBC, Robi Matiko-Simba.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages