Kutoka Kushoto ni masupastaa wa bongo movies Singo Mtambalike kama Ritchie,Steven Kanumba,Jackline Wolper Masupastaa wa filamu nchini Tanzania wakiongozwa na muigizaji Jacob Steven maarufu kama JB Mchekeshaji Steven Nyerere na Vicent Kigosi maarufu Ray. walishiriki kipindi cha maswali na majibu cha mkutano wa tatu kikao sita cha Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania Wasanii hao ambao wameanzisha klabu yao ya Movie wanatarajia kukipiga na timu ya wabunge mwishoni mwa wiki.Picha na Mdau Msimbe Beda Lukwangule
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)