MAMBO YA TANGA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAMBO YA TANGA

Sheria ya usalama barabarani ya abiria na mwendesha pikipiki kuvaa helmeti imekuwa ikikiukwa sehemu mbalimbali nchini, kama inavyoonesha katika picha hii iliyopigwa jijini Tanga abiria akiwa hajavaa helmeti.Picha na Mdau Richard Mwaikenda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages