MAMA SALMA KIKWETE AFANYA HARAMBEE NCHINI MAREKANI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAMA SALMA KIKWETE AFANYA HARAMBEE NCHINI MAREKANI

 Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma Kikwete akihutubia juzi, nchini Marekani,katika hafla ya harambee ya kuchangisha fedha kuisaidia Taasisi hiyo vifaa vya afya na dawa zenye thamani ya shilingi Bilioni 45 za Kitanzania ili kusaidia kupambana kupunguza vifo vya akina mama wajawazito na watoto wachanga nchini.
 Mwenyekiti wa Taasisi ya WAMA Mama Salma Kikwete(kushoto) Mke wa Founder wa Project C.U.R.E. Daktari AnnaMarie Jackson pamoja na Balozi wa Tanzania Marekani Mwanaidi Maajar wakiimba wimbo wa Taifa letu ,(inapendeza na heshima kubwa ukiweza kuimba wimbo wa taifa lako hasa ugenini kama walivyodhihirisha viongozi wetu wawili.
 Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete (kulia) akiwa na Rais wa Taasisi inayoshughulikia utoaji wa huduma za kibinadamu ya Project C..U.R.E Daktari Douglas Jackson huko Arizona 21-April 2011.
 Baadhi ya wageni wapatao 1200 waliohudhuria katika hala ya uchangishaji.
Kikundi cha ngoma cha Arizona kikitumbuiza katik aharambee hiy.Picha na Mwanakombo Juma-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages