Dk SHEIN AKUTANA NA WANAMICHEZO WA TIMU ZA IKULU ZANZIBAR NA DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Dk SHEIN AKUTANA NA WANAMICHEZO WA TIMU ZA IKULU ZANZIBAR NA DAR ES SALAAM


  Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein akizungumza na Wanamichezo hao
Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na wanamichezo wa timu za Ikulu ya Zanzibar na Dar es Salaam, wakati timu hizo zilipofika Ikulu Mjini Zanzibar kuonana na Rais, ambapo zitakuwa na mapambano mbali mbali katika kukuza ushirikiano wa pamoja.Picha na Ramadhani Othaman,ikulu-Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages