Boda Boda Band ndani ya Nyumbani Lounge
Lady Jaydee na Machozi Band wakifanya vitu vyao ndani ya Nyumbani Lounge
Lady Jaydee akiwa na Kidumu ndani ya Nyumbani Lounge
Baada ya hapo tumeonelea kuwa kila Jumapili Machozi Band itakuwa inapiga Nyumbani Lounge...........
Ila tutaweka meza za kusimama mbele ili watu wacheze
Kwakuwa watu wanakaa saaana wanaangalia tu,inabidi ku move move kiaina au vipi????
Jumapili ijayo karibuni tena
Ila tutaweka meza za kusimama mbele ili watu wacheze
Kwakuwa watu wanakaa saaana wanaangalia tu,inabidi ku move move kiaina au vipi????
Jumapili ijayo karibuni tena
By
Lady Jaydee
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)