LADY JAY DEE KUPIGA SHOO LA NGUVU NCHINI NORWAY - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

LADY JAY DEE KUPIGA SHOO LA NGUVU NCHINI NORWAY

Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Lady Jay Dee, akiwa na promota wake Hassan Nganzo, kwenye uwanja wa ndege wa Flesland mjini Bergen muda mfupi baada ya kuwasili nchini humo kwa ajili ya kupiga shoo kadhaa. Ratiba ya shoo zake inaanza leo Bergen Norway na kesho 22/04 atapagawisha, Olso Norway, 23/04-Amsterdam Holland, 24/04 Athens Greece na kumalizia shoo siku ya tarehe 29/ 04 Stockholm Sweeden.. Lady Jay Dee akiwawasili Uwanja wa Ndege wa Amsterdam jana kuelekea Norway, hapa akipozi na mchizi wake aliyempokea nchini humo.
Jay Dee akiwa na shada la maua baada ya mapokezi yake uwanjani hapo jana.
Picha zote kwa hisani ya Mtandao wa Michuzi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages