WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA VODACOM TANZANIA WAKUTANA NA WAKUU WA NCHI ZA KUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA VODACOM TANZANIA WAKUTANA NA WAKUU WA NCHI ZA KUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Rais wa Uganda Yoweri Kabuta Museven, akisalimiana na Mkuu wa Vodacom Foundation, Mwamvita Makamba, wakati rais huyo na wakuu wengine wa Jumuiya za Afrika Mashariki, walipokutana na wafanyakazi wa Kampuni ya simu za mkononi Vodacoma Tanzania. Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na wafanyakazi hao wa Vodacom.

Rais Jakaya Kikwete (katikati) akipiga picha ya pamoja na baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni hiyo ya Vodacom kwa ajili ya kumbukumbu.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages