KUTOKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KUTOKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA LEO

 Mhe. Mohammed Dewji Mbunge wa Singida Mjini akisalimiana kwa furaha na Mhe. John Cheyo Mbunge wa Bariadi nje ya ukumbi wa Bunge Mjini Dodoma.
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Al-Shyma  Kwegyir kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 15, 2011.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda  akizungumza na Mbunge wa Viti Maalum Chiku Abwao kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Aprili 15, 2011.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages