KONGAMANO LA UDHIBITI WA WIZI WA NYARAKA KWA NJIA YA MTANDAO KUFANYIKA ARUSHA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KONGAMANO LA UDHIBITI WA WIZI WA NYARAKA KWA NJIA YA MTANDAO KUFANYIKA ARUSHA


Mwakilishi wa Asasi isiyo ya kiserikali inayoshughulika na makongamano ya kupambana na kughushi nyaraka kwa njia ya mitandao na bishara ya fedha haramu Simon Lyamoja Njiamoja (katikati) akifafanua  mbele ya waandishi wa habari,  Idara ya Habari  Maelezo leo kuhusu Kongamano kubwa linalotarajiwa kufanyika  mjini Arusha  kuanzia tarehe 24 mpaka tarehe 26 Mei mwaka huu. Kongamano hilo litajadili na kuelekeza namna ya kudhibiti wizi wa kughushi nyaraka kwa njia ya mtandao na bishara ya fedha haramu.Wengine ni wawakilishi wa asasi hiyo kutoka nchini Kenya.

Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo leo mchana Idara ya Habari Maelezo jijini Dare es Salaam.(Picha:Mjengwablog)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages