Moja Ya Hostel Za Wanafunzi Wa Kitivo Cha Teknolojia.Informatics UDOM
Hatimaye Uongozi Wa Kitivo Cha Maswala Ya Teknolojia Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma wameamua kukifunga kitivo hiko mara baada ya migomo iliyokua ikiendelea katika kitivo hiko.Mgomo Uliofanyika tarehe 20 April 2011 wanafunzi 10.Kutokana Na Mgomo Wa Tarehe 20 April 2011 Wanafunzi Waliofukuzwa Walikua 10 Hata hivyo wenzao, walipinga vikali hatua hiyo na kuahidi kufanya mgomo na maandamano ya kushinikiza warejeshwe.Katika mkutano wa wanafunzi wa Kitivo cha Elimu,uloifanyika katika Kijiji cha Nghong'onha, wanachuo walisema moto utakaowaka kuanzia wiki ijayo, hautakuwa na wazimaji.
Hata hivyo Taarifa Tuliyopata Kutoka Katika Chanzo Chetu inasema hali bado ni tete katika chuo hicho kikubwa, Vilevile Kitivo cha Elimu, kulifanyika mkutano mkubwa ulioazimia kufanyika kwa manadamano yasiyokuwa na mwisho.Mpaka Chuo Kinafungwa Jumla Ya Wanafunzi Waliofukuzwa Kutoka Kitivo Hiko imefikia 17.
Habari kutoka ndani ya mkutano huo zilisema maandamano hayo yamepengwa kufanyika mwanzoni mwa wiki ijayo.Aprili 20 mwaka huu, wanafunzi katika chuo hicho, walifanya maanadamano makubwa hadi katika ofisi za Waziri Mkuu mjini Dodoma, wakilalamikia uhaba wa vifaa vya kujifunzia na mazingira ya kusomea.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)