KATIBU MKUU MPYA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI AAPISHWA JIJINI DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KATIBU MKUU MPYA WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI AAPISHWA JIJINI DAR ES SALAAM


 Katibu Mkuu Mpya wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Dk.Richard Sezibera akila kiapo katika Mkutano wa Wakuu wa Jumuiya hiyo mjini Dar es Salaam. Kushoto anayemuapisha ni Jaji,Dr Ruhangisa John.Picha na Robert Okanda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages