BREAKING NEWSSS: WANAFUNZI WA KITIVO CHA ELIMU YA MAWASILIANO CHA CHUO KIKUU CHA DODOMA WAANDAMANA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BREAKING NEWSSS: WANAFUNZI WA KITIVO CHA ELIMU YA MAWASILIANO CHA CHUO KIKUU CHA DODOMA WAANDAMANA

Wanafunzi Wanaosoma Katika Kitivo cha Informatic kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma Waandamana Kudai Fedha kwaajili ya Special Faculty (Kitivo Maalumu) ambapo awali walikua  wanapewa Shilingi 50000 wakati wanatakiwa kupewa Sh 850000.Wanafunzi Hao Wameandamana kuelekea ofisini kwa waziri Mkuu Mh Mizengo Pinda Kwa Ajili Ya Kupeleka Malalamiko Yao na Kupatiwa Haki Yao Ya Msingi.Tuvute Subira Tutazidi Kujuzana Habari Kadri Zinavyozidi Kutufikia.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages