KAMA KAWAIDA SHERIA ZIPO ILI ZIVUNJWE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

KAMA KAWAIDA SHERIA ZIPO ILI ZIVUNJWE

Hapa ni maeneo ya Mlimani City bara bara ya kuelekea Chuo kikuu cha Dar es Salaam, ambapo wamekataza kusifanyike biashara ya aina yoyote ile.
Lakini katika jambo la kushangaza eneo hilo hilo ambapo pamekatazwa biashara za aina yoyote zisiendelee, Biashara ya  Bajaji inaendelea kama kawa. Na tulipo jaribu kuwauliza usiku huu kwa nini wamekataza biashara zisiendelee eneo hilo hawakua na la kuongea. kesho tutakua na mahojiano nao ya moja kwa moja endeleeni kuwepo.Na Mdau Wetu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages