ASKARI WAHITIMU MAFUNZO YA UONGOZI ZANZIBAR - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ASKARI WAHITIMU MAFUNZO YA UONGOZI ZANZIBAR

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais, Fatma Habibu Fereji, akimvisha cheo cha Sajenti askari ElivoBrown Mwailafu, wakati wa hafla ya askari hao waliohitimu mafunzo ya uongozi .

Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa kwanza wa Rais, Fatma Habib Fereji, akimkabidhi cheti askari Polisi wa kike aliyemaliza mafunzo ya uongozi katika chuo cha Polisi Zanzibar.
Kikosi cha askari waliomaliza mafunzo ya uongozi ya miezi mitatu wakiwa katika gwaride rasmi la kuhitimu mafunzo hayo.

Picha na Yussuf Simai- Habari Maelezo Zanzibar

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages