AJALI YATOKEA MARA BAADA YA MARK II KUGONGANA NA BASI LILILOKUA LIKIELEKEA SONGEA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

AJALI YATOKEA MARA BAADA YA MARK II KUGONGANA NA BASI LILILOKUA LIKIELEKEA SONGEA

Ajali hii imetokea kilometa chache kuingia songea mjini kati ya basi  Super feo na gari dogo Mark II  huu ni uzembe wa madereva wetu kutokua makini wawapo barabarani
Hili ni basi la super feo hakuna abilia aliyejeruhiwa wachache walipata mstuko tu
Dereva wa MarkII aliumia na kukimbizwa hospitali ya mkoa songea
Wana usalama pamoja na raia wakilisukuma gari iliyopata ajali Na Mbeya Yetu Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages