Majira ya saa kumi jioni, Kilomita zipatazo 45 kutoka Makambako. Ilihusisha basi la Al saedy kutoka Dar kwenda Mbeya na Lori aina ya Scania.Walioshuhudia wameniambia, kuwa dereva na abiria wachache walijeruhiwa, hakuna aliyepoteza maisha. Chanzo cha ajali, ni uzembe wa dereva wa basi. Ni mwendo kasi. Kwa Msaada Wa Mjengwa

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)