WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AKUTANA NA BAOZI WA MAREKANI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI WA NISHATI NA MADINI AKUTANA NA BAOZI WA MAREKANI

Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja (kulia) akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini, Alfonso Lenhardt, wakati alipofika ofisini kwake jana kwa ajili ya mazungumzo kuhusu masuala ya Nishati na Madini ikiwa ni pamoja na miradi ya millenium Corporation (MCC), jijini Dar es Salaam jana.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages