Kaka Lukaza Naomba Unisaidie hii Kuiweka hewani.
..........................................................................
Hawa Ni baadhi ya Madereva Taksi waliopo kituo cha mabasi ubungo ndani wakati abiria wakishuka kwenye mabasi madereva hao huwasonga abiria hao wakiwa hata hawajashuka kwenye mabasi hayo.Kiukweli wanatakiwa kuwa na ustaarabu na wawe wanasubiri abiria wameshuka chini.Tabia nyingine ni ile ya kuchukua mizigo ya abiria bila idhini yao.Picha na Habari Kwa Hisani Ya Mdau Wa LJ BLOG
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)