BALOZI WA IRAN AKUTANA NA MAKAMU WA RAISI DKT BILAL - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BALOZI WA IRAN AKUTANA NA MAKAMU WA RAISI DKT BILAL

 Balozi wa Iran Nchini Tanzania Mhe. Mohsen Movahhed Ghomi kushoto, akimuonesha na kumkabidhi zawadi ya saa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Mohamed Gharib Bilal, wakati alipokwenda Ofisini kwa Makamu wa Rais Ikulu Dar es salaam leo kwa ajili ya mazungumzo ambapo Balozi huyo amemuambia Makamu wa Rais kuwa Nchi yake inafanya uwezekano wa kuwekeza katika sekta ya Kilimo, Viwanda na Madini hapa nchini. Picha na Amour Nassor VPO.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages