WAZIRI MKUU AAGANA NA WASTAAFU NA WALIOHAMISHWA KATIKA OFISI YAKE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI MKUU AAGANA NA WASTAAFU NA WALIOHAMISHWA KATIKA OFISI YAKE

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, akimkabidhi zawadi Katibu Mkuu wa zamani wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Maimuna Tarishi, wakati wa hafla ya kuwaaga watumishi wa Ofisi yake waliohamishwa kwenda wizara nyingine na wale waliostaafu. Hafla hiyo ilifanyika kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay, jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Dk. Mary Nagu. Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages