TIMU YA SAIDIA GONGO LA MBOTO UINGEREZA, YAANDAA MIZIGO KWA AJILI YA WAHANGA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TIMU YA SAIDIA GONGO LA MBOTO UINGEREZA, YAANDAA MIZIGO KWA AJILI YA WAHANGA




Frank (kushoto) na Ben wakipakia mashati kwa ajili ya Wahanga wa Gongo la Mboto.



 
Mizigo imejaa tayari kupigwa Utepe.




Frank, Sheila, Tina na Ben wakifunga utepe kwenye mizigo tayari kusafirishwa kuelekea Tanzania.



Timu ya SAIDIA GONGO LA MBOTO UK inawashukuru wale wote ambao waliweza kujitolea kwa hali na mali kutoa misaada mbali mbali. 
Mungu awabariki Watanzania,
 Mungu Ibariki Tanzania.
Asanteni,

TIMU YA SAIDIA GONGO LA MBOTO-UK

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages