Wachezaji wa Yanga wakimlalamikia mwamuzi Oden Mbaga wakati wa mchezo na Simba, huku nahodha Shadrack Nsajigwa akijaribu kuwatuliza.
--
KABLA kituo cha televisheni cha Supersport kupitia chaneli yake ya Supersport 9 kurudia mpira wa kichwa uliopigwa na Mussa Mgosi, tayari mwamuzi msaidizi Maxmilian Mkongolo alinyanyua kibendera kuashiria bao halali.
Lakini kwa kuwa mwamuzi wa kati Oden Mbaga alikuwa mbali na eneo la tukio ilimuwia vigumu kuona mpira ulipotua ndani ya lango. Turudi nyuma kidogo. Mwaka 1966 timu ya taifa ya England iliizaba Ujerumani katika mchezo wa fainali ya Kombe la D unia uliofanyika katika dimba la Wembley.Kwa habari zaidi

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)