NI LINI WABONG TUTAKUA NA USTAARABU WA KUTUNZA MAZINGIRA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

NI LINI WABONG TUTAKUA NA USTAARABU WA KUTUNZA MAZINGIRA

Pamoja na jitihada kibao za Manispaa za jiji kuweka vifaa vya kuhifadhia taka katika baadhi ya maeneo ya jiji hili, lakini bado Wananchi hawana utaratibu wa kujizoesha kutumia vifaa hivyo kama picha hii inavyoonesha, pamoja na kuwapo kifaa cha kuhifadhia taka lakini bado watu wasiojulikana wamefika mahala hapa na kutupa taka zao mtaroni na pembeni mwa kifaa hicho. Je namna hii tutafika kweli na jitihada za kuweka jiji safi?

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages