HII NDIO BONGO DAR ES SALAAM TATIZO LA MAJI MPAKA LINI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

HII NDIO BONGO DAR ES SALAAM TATIZO LA MAJI MPAKA LINI

Wafanyabishara wa maji wakikokota matoroli yao kutokea maeneo ya Ubalozi kuelekea maeneo ya Kinondoni kwa ajili ya kuuza kwa wakazi wa maeneo hayo. Kutokana na tatizo la upatikanaji wa maji ya Bomba katika maeneo mengi ya jijini wafanyabishara hao wamekuwa wakipandisha bei ya maji ambapo dumu moja huuzwa hadi Sh. 500.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages