Askari Polisi mlengaji (snipper)akiwa katika onyesho la vikwazo ambapo Askari huyu nai Mmoja Kati ya Askari polisi 2,732 waliohitimu mafunzo ya awali katika Chuo cha Jana Polisi Moshi ambapo Waziri Wa Mambo ya Ndani alikua mgeni rasmi.
Askari wa Kikosi cha kupambana na majanga wakiwa katika harakati za kuzima moto wakati wa onesho la jana katika viwanja vya Chuo cha Polisi Moshi. Askari Polisi 2,732 na Uhamiaji 115 wamehitimu mafunzo ya awali.
Askari Polisi wakiwa katika onyesho la karate Jana Mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro wakati Wa mahafali ya kumaliza mafunzo ya awali ya Askari Polisi Rangi Uhamiaji. ya Askari Polisi 2,732 Rangi uhamiaji 115 wamehitimu mafunzo ya awali ya Rangi mgeni rasmi alikua Waziri Wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Shamsi Vuai Nahodha
Askari Wa Kikosi cha farasi wakipita mbele ya mgeni rasmi mh. Shamsi Vuai Nahodha wakati Wa mahafali ya kumaliza mafunzo ya Askari Polisi Rangi Uhamiaji katika Chuo cha Polisi Moshi. Jumla ya Askari Polisi 2,732 Rangi Uhamiaji 115 wamehitimu mafunzo ya awali.Picha na Hassan Mndeme-Jeshi la Polisi
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)