WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAISI- MUUNGANO AKUTANA NA KAMATI YA BUNGE YA KATIBA LEO - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAZIRI WA NCHI OFISI YA MAKAMU WA RAISI- MUUNGANO AKUTANA NA KAMATI YA BUNGE YA KATIBA LEO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Muungano Samia Suluhu Hassan akizungumza na Kamati ya Bunge ya Katiba,Sheria na Utawala Bora Wakati ilipokuwa na Ziara ya Siku Moja,katika Ofisi ya Makamu wa Rais  kulia Mwenyekiti ya Kamati hiyo Pindi Hazara Chana Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk Abdullah Juma na Mbunge wa Chake chake Mussa Haji
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais-Muungano Samia Suluhu Hassan akiagana na Naibu Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dk Abdallah Juma Mara baada ya kumaliza Kikao na Kamatiya Bunge ya Katiba,Sheria na Utawala Bora Ofisini Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu Rais-Muungano Samia Suluhu Hassan akiwa katika Picha ya Pamoja na Kamati ya Bunge katiba,Sheria na Utawala Bora Mara baada ya Kikao kwenye Ofisi ya Makamu wa Rais Mtaa wa Luthuli Mjini Dar es Salaam.Picha na Ali Meja

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages