MAKAMU WA RAISI DKT BILAL ASHIRIKI HAFLA YA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA MTUME MUHAMMAD (SAW) - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MAKAMU WA RAISI DKT BILAL ASHIRIKI HAFLA YA KUMBUKUMBU YA KUZALIWA MTUME MUHAMMAD (SAW)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Mohamed Gharib Bilal,akiagana na Waumini wa Dini ya Kiislam pamoja na Viongozi wa Jumuiya ya Istiqaama Tanzania baada ya kuhutubia Waumini hao kwenye hafla ya kukumbuka kuzaliwa Mtume Muhammad(SAW)iliyofanyika jana katika ukumbi wa Karimjee Dar es salaam .

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages