Wazri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka akijibu hoja mbalimbali za wabunge bungeni mjini dodoma Jana
--
Wazri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Profesa Anna Tibaijuka Ametangaza Vita na dhidi ya watu waliojitwalia maeneo ya wazi katika maeneo mbalimbali nchini.Profesa Tibaijuka ametangaza Viuta hiyo Bungeni Mjini Dodoma jana wakati akijibu hoja mbalimbali zilizotolewa na wabunge wakati wakichangia hotuba ya Rais Jakaya Kikwete aliyoitoa novemba Mwaka jana wakati akifungua Bungeni la Kumi
''Hata Kama Afisa ardhi atataka kukupimia Kiwanja au mtu akitaka kukuuzia eneo lake Unatakiwa Uulize.'' alisema Profesa Tibaijuka
*Habari hii na Joseph ishengoma-MAELEZO, Dodoma
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)