WATAALAMU WA TIMU ZA UENDESHAJI WA HUDUMA ZA AFYA ZA MIKOA WAKUTANA DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WATAALAMU WA TIMU ZA UENDESHAJI WA HUDUMA ZA AFYA ZA MIKOA WAKUTANA DAR ES SALAAM


Katibu mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Blandina (katikati) akizungumza jambo na Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Haji Mponda (kulia) na Mganga mkuu wa Serikali Dkt. Deo Mutasiwa mara baada ya kufunguliwa kwa mkutano kazi wa watalaam wa timu za uendeshaji wa Huduma za afya za mikoa na hospitali za rufaa nchini leo jijini Dar es salaam.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Haji Mponda akizungumza na watalaam wa afya wakati wa ufunguzi wa mkutano kazi unaowajumuisha watalaam wa timu za uendeshaji wa Huduma za afya za mikoa na timu za uendeshaji za hospitali za rufaa leo jijini Dar es salaam ambapo ametoa wito kwa wataalam hao kufanya kazi kwa kuzingatia kanuni na maadili ya taaluma ya Afya.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages