UVCCM NA TAMKO LAO KUHUSU MGOGORO WA MIKOPO YA ELIMU YA JUU - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UVCCM NA TAMKO LAO KUHUSU MGOGORO WA MIKOPO YA ELIMU YA JUU


 Martine Shigella akizungua katika mkutano wa Shirikisho la matawi ya Umoja wa Vijana wa CCM, wa Elimu ya Juu, katika ukumbi wa Vijana, Kinondoni mjini Dar es Salaam. Katika mkutano huo Shirikisho hilo lilitosa tamko kuhusu mgogoro wa mikopo ya elimu ya juu. Kushoto ni Mwenyekiti wa Shirikisho hilo, Chiristopher Ngulaigani  na katikati ni Kaimu Mwenyekiti wa UVCCM, Taifa, Beno Malissa. 
 WAKEREKETWA wa UVCCM wa zamani, Waziri wa Maliasili na Utalii, Ezekile Maige (kushoto) na Mbunge wa Suvye, Richard Ndasa, wakimshauri jambo, Katibu Mkuu wa UVCCM, Shigella katika mkutano huo.
Viongozi na makada wa UVCCM kutoka vyuo vya elimu ya juu wakiwa kwenye mkutano huo.Picha zo6te na Mdau Bashir Nkromo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages