Rais Mhe.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilal alipowasili Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam jana, alipokuwa akitokea Nchini Addis Ababa Ethiopia alipohudhuria kikao cha Marais na Wakuu wa Umoja wa Afrika (AU) kilichomalizika juzi Nchini humo. kushoto Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda.
Rais Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Makamu wa Rais Dk. Mohamed Gharib Bilala kulia na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es salaam leo akitokea Nchini Addis Ababa Ethiopia alikohudhuria kikao cha Marais na Viongozi wa Umoja wa Afrika (AU) kilichomalizika juzi





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)