TANESCO: HATUJAWASHA MITAMBO YA DOWANS - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

TANESCO: HATUJAWASHA MITAMBO YA DOWANS


Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania(TANESCO),William Mhando(Kulia) akizungumza na waandishi wa habari,leo katika Ofisi Ndogo za Bunge,Dar es Salaam,ambapo akanusha habari kuwa mitambo ya ya kufua umeme ya Dowans imewashwa ili kusaidia kupunguza mgawo wa umeme.Picha na Richard Mwaikenda

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages