Msanii wa siku nyingi wa Bongo flava, Fredinah Peyton ‘Rah P’ (pichani) ambaye anaishi nchini Marekani, anadaiwa kujifungua mtoto wa kiume, Ijumaa limeinyaka.
Kwa mujibu wa Mtandao wa Total Knockout unaomilikiwa na aliyekuwa Mtangazaji wa Kituo cha Televisheni cha Channel 5, Teddy Kalonga ‘TK’, Rah P alijifungua mtoto huyo mwishoni mwa mwaka jana, hivyo kumfanya kuwa na watoto wawili.
Alipoulizwa kuhusu muziki, Rah P alisema kwa kifupi: “Sasa hivi mimi ni mama, ukiniona ugumu wote umeisha, ila tegemeeni ujio mwingine kutoka kwangu.

Kwa Msaada Wa Global Publisher Tanzania

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)