MKUU WA MAJESHI YA SIERA LEONE AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNOPS OMARY MJENGA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MKUU WA MAJESHI YA SIERA LEONE AKUTANA NA MWAKILISHI WA UNOPS OMARY MJENGA

Mwakilishi Mkazi Wa UNOPS Nchini Siera Leone Bwana Omary Mjenga akiwa na Mkuu wa Majeshi Ya Siera leone Major Gen Yira Koroma (wa tatu kushoto) baada ya mazungumzo yao kuhusu mradi wa ujenzi wa nyumba za wanajeshi na barracks mradi utakaosimamiwa na UNOPS.
Kwa Msaada Wa Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages