MJASIRIAMALI, Joseph Damas, alinaswa na mtandao huu akisafirisha matenga ya ndizi, moja likiwa kwenye baiskeli, jingine akiwa amelibeba kichwani.
Damas alikuwa akitokea milima ya Ulurugu akipeleka mzigo huo kwenye genge lake huko Kihonda Kwa Chambo umbali wa kilomita kumi.
Kuna wakati alisaidiwa na wapita njia waliosukuma baiskeli yake wakati akiwa katika kilima, hii ni baada ya kuacha barabara za kawaida akikwepa foleni za magari.
Safari ya Damas inaonyeshwa katika picha zifuatazo:

PICHA HABARI NA DUNSTAN SHEKIDELE /GPL,MOROGORO
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)