MAMA mmoja aliyejitambulisha kwa jina moja la Asha aliyedai anasumbuliwa na ugonjwa wa chango, hivi karibuni alijisalimisha katika msikiti mkuu wa mkoani Moro, Barabara ya Boma, akiomba asaidiwe msadaa wa chakula kutoka kwa Wasamaria Wema waliokuwa wakitoka kwenye ibada mchana.
Akizungumza na mtandao huu, mama huyo alidai kwamba anasumbuliwa kwa muda mrefu na ugonjwa wa chango na kwamba watoto wake wako mbali naye.
Miongoni mwa watu waliofika kujua matatizo yake ni pamoja na askari wa doria na viongozi wa dini.
Hadi mtandao huu unaondoka sehemu hiyo, waumini wa Kiislam waliotoka msikitini walikuwa kwenye hekaheka ya kumpatia mama huyo chakula.
Picha zifuatazo zinaonyesha tukio zima.
HABARI, PICHA NA DUNSTAN SHEKIDELE /GPL,MOROGORO

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)