TIMU ya Arsenal ya England leo majira ya saa moja jioni inashuka dimbani kumenyana na Birmingham kwenye fainali ya Kombe la Carling katika Uwanja wa Wembley. Kitendawili kinabaki je, Arsenal wataweza kukata kiu ya makombe iliyodumu kwa kipindi cha miaka sita?
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)