Mtoto, ambaye hakuweza kufahamika jina lake, aliyeokotwa maeneo ya Sitakishari Ukonga, akiwa amebebwa na mmoja wa Maafisa wa Red Cross, baada ya kufikishwa kwenye Uwanja wa Uhuru na askari, ili wazazi wa mtoto huyo wafike kumtambua.
Baadhi ya Wahudumu wa Red Cross Wakijiandaa Kugawa Maji Kwa Waathirika Wa Milipuko Ya mabomu waliokuwa katika Uwanja Wa Uhuru Leo Mchana
Kamanda Wa Scout Akiwapanga Vijana Wake katika Uwanja Wa Uhuru Jijini Dar Mchana Huu.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)