CHAMA CHA WABUNGE WANAWAKE NCHINI CHAFANYA UCHAGUZI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

CHAMA CHA WABUNGE WANAWAKE NCHINI CHAFANYA UCHAGUZI


aNNE+mAKINDA+%2528KULIA%2529+NA+ANNA+aBDALLAH
 Mwenyekiti aliyemaliza muda wake wa Umoja wa Wabunge Wanawake Tanzania (TWPG), Anne Makinda akifungua mkutano wa kuchagua viongozi wapya na mwakilishi wa wanawake wabunge katika SADC, Dodoma.Kushoto ni Mwenyekiti mpya wa TWPG, Anna Abdallah.
CHADEMA++MBEYA+%2528SHOTO%2529+ARUSHA
 Wabunge wa Viti Maalum kupitia CHADEMA,Naomi Mwakyoma (Mbeya), kushoto, na Rebeca Mngodo ( Arusha) wakifuatilia kwa makini mkutano huo
IMG_9404
Wabunge wa Viti Maalumu CCM, Ritta Kabati (Iringa),kulia, na  Mary Chatanda (Tanga) wakifuatilia mkutano.
IMG_9350
Mwenyekiti mpya wa TWPG,Anna Abdallah (CCM),mbele, akifuatiwa na Makamu wake Susan Lyimo (CHADEMA) wakisindikizwa kuchukua nafasi zao baada ya kuchaguliwa.
SOFIA+%2528SHO%2529+MAKINDA+NA+kIWELU+%2528KULI%2529A
Mwenyekiti Aliyemaliza Muda Wake wa TWPG na spika wa Bunge Mheshimiwa Anne Makinda(wa pili kulia) na Makamu wake aliyemaliza muda wake kutoka Chadema Grace Kiwelu(kulia)na Mwenyekiti wa UWT taifa Sofia Simba.Picha na Mwanakombo Juma-MAELEZO

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages