AJALI iliyohusisha magari matatu na pikipiki moja imetokea leo asubuhi katika Barabara ya Korogwe eneo la Masika katikati ya mji wa Morogoro.
Watu walioshuhudia tukio hilo waliueleza mtandao huu kwamba chanzo cha ajali hiyo ni pipiki kugonga gari moja lililopunguza mwendo ghafla wakati likikata kona kueleka Barabara ya Faya.
"Mwenye hii VX alipunguza mwendo akitaka kukata kona kwenda Faya na dereva wa pikipiki aliyekuwa nyuma yake akaligonga gari hilo na kusababisha magari mengine mawili yaliyokuwa nyuma kugongana kama unavyoona," alisema shuhuda mmoja aliyejitambulisha kama Mohamed Ally.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)