WARSHA YA WAHARIRI KUHUSU NAFASI YA VYOMBO VYA HABARI KATIKA MCHAKATO WA KATIBA MPYA YAFANYIKA DAR ES SALAAM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WARSHA YA WAHARIRI KUHUSU NAFASI YA VYOMBO VYA HABARI KATIKA MCHAKATO WA KATIBA MPYA YAFANYIKA DAR ES SALAAM


 JENERALI Umlimwengu akizungumza katika warsha ya wahariri kuhusu nafasi ya vyombo vya habari katika mchakato wa Katiba mpya, iliyofanyika leo katika hoteli ya Protea Courtyard jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Profesa Issa Shivji.
BAADHI YA wahariri wakiwa katika warsha ya wahariri kuhusu nafasi ya vyombo vya habari katika mchakato wa Katiba mpya, iliyofanyika leo katika hoteli ya Protea Courtyard jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Profesa Issa Shivji. Kushoto ni Kaimu Mhariri Mtendaji wa Tanzania Standard Newspapers (TSN), Mkubwa Ally na Mhariri Mtendaji wa Uhuru Publications Ltd, Josiah Mufungo.Picha na Mdau Bashir Nkromo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages