BALOZI WA UMOJA WA ULAYA NA ISRAEL AMTEMBELEA WAZIRI MAGUFULI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BALOZI WA UMOJA WA ULAYA NA ISRAEL AMTEMBELEA WAZIRI MAGUFULI

 Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli akizungmza na Balozi wa Umoja wa Ulaya(European Union)Tim Clarke(kushoto) alipomtembelea waziri Magufuli Ofisini Kwake Jijini Dar es Salaam na kuzungumza mambo mbalimbali ya miradi ya barabara inayoghramiwa na jumuiya ya Ulaya(EU)husuni maendeleo ya ujenzi wa barabara ya mandela
Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli akizungumza na Balozi wa israel kwa nchi za afrika mashariki ambaye pia ofisi yake ipo nchini nairobi Jacob Keidar(kushoto)alpomtembelea Waziri Magufuli OFisini Kwake Jijini Dar es Salam na kuzungumza maswala  mbalimbali hususani israel kujenga nyumba za bei nafuu nchin Tanzania kwa gharama nafuu kwa wafanya kazi wa serikali pamoja na Taasisi.Picha na Kitengo Cha Habari na Mawasiliano-Wizara ya Ujenzi

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages