HAKI ELIMU: SIASA ZIMEATHIRI MATOKEO YA KIDATO CHA NNE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

HAKI ELIMU: SIASA ZIMEATHIRI MATOKEO YA KIDATO CHA NNE


Mkurugenzi wa Shirika la Haki Elimu, Elizabeth Missokia akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jana juu ya hali halisi ya matokeo ya mtihani wa kidato cha Nne Kitaifa 2010 yaliyotangazwa hivi karibuni, jijini Dar es Salaam.Kulia ni Mchambuzi wa Sera wa Mtandao wa Elimu Tanzania(TENMET) FlorenceFrancis.Picha na Zacharia Osanga

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages